Zimbwabwe
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amewaachisha kazi mawaziri wawili na naibu wa mawaziri watano.
Rais huyo alieko Asia kwa likizo amechukua
hatua hii baada ya kutimua wengine saba pamoja na aliyekuwa naibu wake joice
Mujuru.
Aidha anasema kuwa tabia na jitihada za kazi
yao ni za chini na hazikutarajiwa kuwa hivyo, akiongezea amesema kuwa wanachama
hao walikuwa karibu sana na Mujuru ambae anaonekana kuchukua nafasi yake
atakapo staafu.
Kwa sasa Rais Mugabe amemteua Emmerson
Mnangagwa kama naibu wake
No comments:
Post a Comment