Moncef Marzouki amepinga kutawazwa
kwa Beji Caid Essebsi kama rais mpya wa Tunisia kwa kusema kuwa ushindi huwo
haukuwa wa kidemocrasia.
Mshindi, Mr Essebsi mwenye umri wa
miaka 88 ametoa shukrani kwa Marzouki na wafuasi wake na pia amewaambia
wananchi wa Tunisia kuwa ni wakati mzuri kwa wao kushirikiana na kufanya kazi
pamoja bila kubagua yeyote ili kuleta utulivu nchini humo.
Itafahamika kuwa uchaguzi huwo ndio
wa kwanza wa kidemocrasia tangu kupata kwao uhuru mwaka wa1956.
No comments:
Post a Comment