Sunday, 21 December 2014

CANCCER



Watafiti  nchini Australia wamegundua kuwa utumiaji wa aina ya dawa za maumivu kama asprini na brufen, zinao uwezo wa kupambana na uchochezi na kupunguza makali ya kansa ya ngozi.

Kulingana na mtafiti mkuu Catherine Olsen dawa hizo za maumivu zinao uwezo wa kuzuia kansa hiyo ya ngozi.

Hii ni baada ya uchambuzi uliofanywa kuzindua dawa hizo ambapo ulipunguza hatari ya aina ya kansa ya ngozi, squamous cell carcinoma kwa asilimia 18  

No comments:

Post a Comment