ROMA
Klaus Iohannis aapishwa kuwa rais mpya wa
nchi ya Roma baada ya kumpiku mwenzake Victor Ponta katika uchaguzi mkuu nchini
humo.
Klaus aliyezoa asilimia 54.5 dhidi ya 45.5 alizopata Ponta alitoa shukrani
kwa wananchi wake na kuwaahidi kupigania utowaji na upokeaji rushwa kwa nchi hiyo
maskini ya pili chini ya umoja wa bara uropa.
Hata hivyo rais huyo mpya amesema kuwa
ushindi wake ulikuwa wa huru na halali
No comments:
Post a Comment