Maiti ya mtoto mwenye umri wa miaka 11 imepatikana ikiwa
imekatwakatwa katika nyumba ya mwanaume mmoja anaeshukiwa kuwa mhusika wa kitendo hicho katika eneo la likoni kaunti ya Mombasa.
Mzazi wa marehemu amesema binti yake
alitoweka nyumbani kwa muda wa siku tatu bila ya kujulikana alipokuwa, huku wakifanya
kila juhudi ya kumtafuta bila mafanikio.
Mshukiwa huyo amejisalimisha katika kituo cha polisi huku wakazi waliojawa na hasira wakimshambulia nusra kumuuwa mbele ya maafisa hao
No comments:
Post a Comment