Rais Uhuru Kanyatta na familia yake akiwemo mke, mama, na
watoto wake pamoja na seneta wa Nairobi Mike Mbuvi "Sonko"wamesherehekea siku kuu ya krismasi katika kaunti ya Mombasa.
Rais Uhuru ambaye ziara yake imekuwa ya siri mjini humo,
amehudhuria misa ya maombi katika kanisa la Cathedral lililoko katika barabara
na Nkruma jijini humo.