Friday, 2 May 2014

SIASA SI CHUKI

 

Seneta wa kaunti ya Nairobi Mike
Mbuvi Sonko ametishia kumfikisha
mahakamani Gavana wa kaunti ya
Kilifi Amason Jefa Kingi kwa madai
ya ufujaji wa fedha za kaunti hiyo
kutokana na kuidhinisha ununuzi wa
jumba la kifahari lililogarimu
takriban milioni 140.
Amedokeza kuwa atashinikiza
ukaguzi mpya utakaotekelezwa na
wakaguzi wa serikali kwa lengo la
kubaini bei halisi ya jumba hilo la
kifahari ambalo ndio makaazi rasmi
ya Gavana.
Show less

No comments:

Post a Comment